SAMPLE LESSON FORMAT FOR MPANGO KAZI WA MJENGO WA TUNGO- KISWAHILI KIDATO CHA TATU
1. CLASS INFORMATION
DATE STREAM PERIOD TIME NUMBER OF STUDENTS
40 Mins. REGISTERED PRESENT

2. COMPETENCE:
Eleza dhima ya tungo

3. GENERAL OBJECTIVES:
Kusoma na kuelewa maandiko mbalimbali

4. SPECIFIC OBJECTIVES:
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:1. Kueleza dhima ya tungo

5. MAIN TOPIC
MJENGO WA TUNGO

6. SUB-TOPIC
2.1 Kueleza mjengo wa tungo.

7. TEACHING/ LEARNING MATERIALS
Kiswahili Kidato Cha Tatu, Kitabu Cha Mwanafunzi; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania

 8. TEACHING/LEARNING AIDS
Chati yenye tungo za virai, vishazi na Sentensi maandiko mbalimbali

TEACHING STRUCTURE
STAGE TIME TEACHER'S ACTIVITIES STUDENT'S ACTIVITIES   ASSESSMENT
INTRODUCTION 5 Kwa kutumia maswali na majibu, uchunguzi na majadiliano, mwalimu awaongoze wanafunzi wabaini tungo mbalimbali kutokana na mazungumzo na maandiko anuai. Wanafunzi wabaini tungo mbalimbali kutokana na mazungumzo na maandishi Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
PRESENTATION 20 Ongoza Wanafunzi wapange tungo izo kwa kutofautisha zilizo na zisizo tungo halisi Wanafunzi wapange tungo izo kwa kutofautisha zilizo na zisizo tungo halisi Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REFLECTION 5 Ongoza Wanafunzi katika vikundi wafanye mazoezi ya kubainisha tungo mbalimbali katika mazungumzo na maandishi. Wanafunzi, wakiongozwa na mwalimu waeleze dhima ya tungo katika mawasiliano. Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REINFORCEMENT 5 Ongoza Wanafunzi katika vikundi wafanye mazoezi ya kubainisha tungo mbalimbali katika mazungumzo na maandishi. Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
CONCLUSION 5 Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi

STUDENT'S EVALUATION
Kwa zaidi ya asilimia 90 ya wanafunzi wameelewa kipindi kwa ufasaha

TEACHER'S EVALUATION
Maarifa ya kutosha nimeyatoa, na idadi kubwa ya wanafunzi wameelewa kipindi

REMARKS
Kwa wanafunzi ambao hawakuelewa mada vyema, watahudhuria watahudhuria vipindi vya ziada

FILL THE FORM BELOW TO DOWNLOAD MPANGO KAZI WA MJENGO WA TUNGO- KISWAHILI KIDATO CHA TATU For T.Sh. 1,000/=

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256